Mafunzo ya Adobe Premiere Pro (Short Course)
Katika video hii nimefundisha karibu kila kitu ambacho unahitajib kukijua na kukifanya unapoaanza na kumaliza project ndani ya Adobe premiere pro, ndiyo ni mafunzo ya video editing ambayo yanamfaa yeyote anayetaka kujifunza video editing hata kama hajawahi kabisa kujua na kugusa premiere pro. Ni course fupi ambayo ni project based namaanisha utajifunza kwa kutumia project halisi ya Tangazo la kampuni ya bidhaa mbalimbali za ngozi. Ni video ya dakika moja tu lakini kupitia hiyo nimeeleza mbinu nyingi sana muhimu ambazi unaweza kuzitumia ili kufanikiwa kuedit na kutoa video nzima ambayo ni amazing
Timecode 0:00- Intro
0:54-Who supported the project?
1:29-Final video replay
2:29-Outro
2:59- Project idea and preperation
4:59- Briefy on video Segments
5:01- Adding clips, kustablize, kuad transition, Audio editing, Adding titles and text, color correction and grading, exporting video
6:51-creating new sequence & adding clip
30:49- Audio editing
23:33-Stablize clip
38:35-Adding titles and text
43:51-Color grading and color correction
47:50-Video exporting
50:54-Replay Final video
51:51- Conclusion
Tazama zaidi video hizi zitakusaidia
Fahamu namna ya kutumia adobe premier pro sehemu ya kwanza https://www.youtube.com/watch?v=_ULTI...
Selective Color Grading ndani ya Premiere Prohttps://www.youtube.com/watch?v=_to51...
Jinsi ya Kufanya Color Grading ndani ya Adobe premiere Pro https://www.youtube.com/watch?v=3Jxqz...
Jinsi ya kusycronize audio ndani ya Premiere prohttps://www.youtube.com/watch?v=D2wqE...
Jinsi ya kuexport Video Quality kwa kutumia Premiere Pro https://www.youtube.com/watch?v=01nVY...
Jinsi ya kutengeneza ROLLING FILM CREDIT ndani ya Premiere Pro https://www.youtube.com/watch?v=aZJUB...
Acha maoni yako hapo chini juu ya kozi hii Fupi Naitwa Joel