Profile PictureJoel Media
$10

Misingi ya Design ( Design Fundamentals

Add to cart

Misingi ya Design ( Design Fundamentals

$10

Naitwa Joel Creative Designer Karibu katika kozi yangu ya Fundamentals of Design (Misingi ya Design), ikiwa ni moja ya hatua muhimu katika kujifunza masuala ya Ubunifu wa kidigitali na Graphics Design kwa ujumla.

Ungana nami kuanzia mwanzo mpaka mwisho wa mfululizo wa video hizi. Katika kozi hii utajifunza misingi ya design ambayo itakusaidia sana kukuza ujuzi wako kwa wewe unayeanza kujifunza masuala ya Creative Design hata kama unauzoefu kozi hii itakusaidia sana kuongeza ujuzi zaidi na kujiamini zaidi.

Baada ya kujifunza misingi yote muhimu ya Design utajifunza namna ya kutumia ujuzi uliojifunza kwa kufanya poster kwa kutumia Adobe Illustrator ingawa hata kama huna uelewa wa software hii unaweza kutumia software yoyote ya design.

Ni matumaini yangu makubwa kwamba utapata ujuzi mkubwa baada ya kozi hii, tazama kuanzia mwanzo mpaka mwisho see you next time. Katika kozi hii utajifunza na kufanya projects zote kwa kutumia Adobe Illustrator ingawa haina maana ukiwa na software nyingine hutaweza hapana utaweza kujifunza vizuri,

Nimefundisha kwa ndani mambo yafuatayo kama misingi ya design

Balance

Algment

Hierarchy

Typography

Colour

Poster project

Jinsi ya kuandaa assets

Kufanya designning

Kusave na Kueport katika format mbalimbali

Bonyeza hapa kusoma kozi hii: https://skl.sh/3vWfxYp

Add to cart

Kama unachangamoto yoyote wasiliana nami 0745 152 680

Copy product URL