Profile PictureJoel Media
$13

Mafunzo ya Adobe After Effects

Add to cart

Mafunzo ya Adobe After Effects

$13

MAFUNZO YA ADOBE AFTER EFFECTS

Zipo software nyingi ambazo ni bora na zinafanya composition vizuri katika Industry. Hata hivyo hatuwezi kuiacha Adobe After Effects, pia hakuna software bora na inayofanya vizuri sana katika Motion graphics na Vfx kama After effects, Adobe After Effects ni Industry standard Motion Graphics Software.

Adobe after effects ni 2.5 d programu ambayo inatumika Zaidi katika 2d motion graphics ui na Ux, Ni powerful tool katika kufanya animation ya Logo, Info graphics, Texts animation, Lowerthirds nk. Software hii inatumika sana na Filmkers katika post production ya Uzalishaji wa Vipindi vya Tv, Web Video pamoja na Film.

Karibu Katika Mafunzo ya Adobe After Effects na Motion Graphics kwa Beginner. Katika mafunzo haya utajifunza kuanzia mwanzo mpaka mwisho jinsi ya kutumia tools mbalimbali ndani ya Adobe After Effects kutengeneza Motion graphics nzuri na zinazovutia. Jina Langu Joel Kadaga (Creative Designer).

Add to cart
Copy product URL