Mafunzo Ya Adobe Illustrator
MAFUNZO YA ADOBE ILLUSTRATOR
Hellow Naitwa Joel Kadaga Creative Designer, baada ya kumaliza shahada yangu ya kwanza niliamua kujikita na kuweka muda wangu wote katika kujifunza masuala ubunifu wa kidijitali (Creative Design). Na hatimaye nikaanza kuandaa kozi mbalimbali na kufundisha jamii juu ya kile nilichojifunza.
Karibu katika Mafunzo ya Adobe Illustrator mafunzo haya yatamfaa mtu mpya katika Illustrator na design career kwa ujumla utajifunza kuanzia mwanzo mpaka mwisho hatua kwa hatua mpaka utakapojua kuandaa projects zako ndani ya Illustrator Interface.
Adobe Illustrator ni tools ambayo ni vector based software ina nguvu na uwezo mkubwa tunapozungumza (web na print design) kazi kama Logo, Poster, sticker, Business card, Flyers, Book cover, inforgraphics, vector illustration nk.
Katika Mafunzo haya ya Adobe Illustrator kwa mtu anayeanza utajifunza mambo yafuatayo kwa ujumla wake; -Launching Adobe Illustrator
-Setting up Projects ndani ya Illustrator
-Adobe Illustrator Interface (Command Menu, Tools segments
-Tools mbalimbali projects Manager na namna ya kutumia tools
-Mambo ya Kuzingatia kuanzia mwanzo mpaka mwisho unapodesign kazi ndani ya Adode Illustrator pamoja na kusave na kuexport kazi
-Utafanya projects mbalimbali ambazo mimi binafsi nimefanya hatua kwa hatua kama vile Logo design, posters design, calender design, Business card design vectors deseign nk Na mengine mengi