Mafunzo ya Adobe Premiere Pro
MAFUNZO YA ADOBE PREMIERE PRO
Mafunzo ya kueidit video kwa kutumia Adobe Premiere Pro
Ikiwa unahangaika kujua program gani inayofaa kwako kujifunza video editing basi leo ntakwambia kwamba ichague bila kusita Adobe Premiere Pro. Adobe premiere pro ni program ambayo ni ya kisasa inayoendana na Soko, Tekonolojia pamoja na kukupa uwezo wa kuwa mbunifu Zaidi unapoitumia.
Mafunzo haya ya video editing kwa kutumia Adobe Premiere Pro yataufanya ujuzi wako kuwa mkubwa na wa viwango vingine katika ulimwengu wa uzalishaji wa picha za mjongeo.
Kwa miaka kadhaa sasa nimekua nikifundisha jamii kila nnachokijua kuhusu masuala yanayohusiana na tasnia ya ubunifu hasa Graphics design, Videography na teknolojia, nimekua nikitumia maarifa yangu kila siku kujifunza Zaidi na kufundisha jamii hasa vijana kujua namna ya kufanya kazi hizi.
Nimekuandalia mafunzo ya Adobe Premiere pro ili kukuwezesha wewe kubadili mawazo uliyonayo kichwani kuyapeleka katika video napenda nikuhakikishie kwamba baada ya kumaliza kozi hii utakua na uwezo wa kufanya mambo yafuatayo:
• Sherehe za harusi nk
• Kuedit Interview
• Kuandaa Makala fupi
• Kutengeneza video kwaajili ya mitandao ya kijamii
• Kuandaa video kwaajili ya Youtube
• Kuchanganya clips kuandaa short mbalimbali sambamba na voice over
• Na mengine mengi
Katika kozi hii ya Video editing kwa kutumia Adobe Premiere pro Kwa Kufuata mtiririko mzuri katika kozi hii utajifunza mambo yafuatayo
• Mahitaji muhimu kabla ya kuanza kujifunza kozi hii
• Kuorganize assets kwenye computer yako
• Kuifahamu interface ya program na kufanya setting muhimu
• Kuimport na kuorganize assets ndani ya Adobe premire pro
• Kufanya basic editing ndani ya timelines
• Kuweka Video na audio transition
• Kuweka titles mbalimbali
• Kuedit na kuboresh video na audio
• Kundoa greecreen na kubadilisha background
• Kufanya color correction na kufanya color grading
• Kuandaa na kutumia subtitles
• Kuexport video katika format mbalimbali kwa usahihi
• Na mengine mengi sana
Njoo ujipatie mafunzo haya yaliyopo katika mfumo wa video utatumiwa video na kujifunza popote ulipo, bei ya Mafunzo haya ni 30,000TZS