Profile PictureJoel Media
$13

Mafunzo ya Adobe Photoshop

Add to cart

Mafunzo ya Adobe Photoshop

$13

MAFUNZO YA ADOBE PHOTOSHOP (ADOBE PHOTOSHOP COURSE)

Hellow Naitwa Joel Kadaga mimi ni Creative Designer mwenye uzoefu wa miaka kadhaa katika career Videography, Photography, Motion Graphics nk kwa miaka ambayo nimekua katika career nimejifunza kupitia makosa na kupata uzoefu wa kutosha, hatimaye nimeaandaa mafunzo haya kwaajili yako ujifunze matumizi ya Adobe Photoshop hata kama hujui chochote na haujawahi kutumia software hii. Nimekufundisha kutoka kutokakujua mpaka kujua na kuwa professional.

Kozi hii ni maalumu na itawafaa watu wa makundi yafuatayo

1. Graphics Designer,

2. Photographer

3. Motion designer

4. 3d artist/designer

5. Web designer

6. Na yeyote anayetaka kuingia katika ulimwengu wa kidigitali.

Adobe photoshop itakuwezesha kuedit picha (Retouching, manipulation, adjustment nk), Kudesign posters, Flyers, banner, 3d post production, pre motion graphics draft, Website tempelates nk.

Uwezo utakaomiliki baada ya kozi hii

Baada ya kumaliza kozi hii utakua na uwezo mkubwa wa kufanya mambo yafuatayo

1. Kufahamu kila kitu kuhusu Photoshop Inrteface

2. Kuzitumia basic tool za photoshop; selection tools, Layer mask, Clipping mask

3. Kuondoa na kubadilisha background za picha ambazo ni ngumu kama nywele na picha zenye composition za vitu vingi,

4. kuondoa object kwenye picha kiprofessional,

5. kubadilisha na kuapply rangi mbalimbali kwenye design yako,

6. Utakua na ujuzi mkubwa wa kutumia Filters mbalimbali kama vile Camera raw filters, blur filters, distort nk,

7. Pia utajifunza namna ya kutumia kwa ufasaha adjustment panel (Brightness na contrast, levels, curve, lookups,)

8. Utajifunza namna ya kutumia 3 Dimension graphics design katika ulimwengu halisi,

9. Mwisho utajua namna na utatengeneza projects mbalimbali ambazo zitakuongezea kipato na kuongeza design nzuri katika portifolio yako.

10. Kuandaa na kuexport mock up design nzuri kwaajili ya matumizi mbalimbali

Kozi imeandiliwa kwa kutumia video (Tutorials) zilizopangiliwa kutoka awali mpaka mwisho zipo video Zaidi ya 50 ambazo zimetengenezwa kwa lugha ya Kiswahili kinachoeleweka kwa kila anajua hata anayejifunza. Unachotakiwa ni kuangalia video moja baada ya nyingine na kuzifanyia kazi kwa kufanya kila hatua nilizopita nakuhakikishia hautajutia

Mafunzo haya ya Adobe Photoshop unaweza kuyapata popote ulipo hakuna haja ya kuonana au kuja kwangu kuyachukua utatumiwa video utadownload na kujifunza popote ulipo mimi nitakua nasubiri ushuhuda wako kwani ni hakika utafanya hivo kutokana na ujuzi nilikuwekea.

Gharama ya mafunzo ni Tsh 30,000/=

Mawasiliano: 0745 152 680

Imeandaliwa na

Joel Kadaga

Creative Designer

Mitandao ya kijamii

Instagram: https://www.instagram.com/joemediagroup_/

Facebook https://linktr.ee/joemediagroup_

Twitter: https://linktr.ee/joemediagroup_

Whastapp: https://linktr.ee/joemediagroup_

#hamasikaanzakujifunza

#getinspiredstartlearning

Add to cart
Size
156 KB
Resolution
1080 x 1080 px
Copy product URL